#273
Tutafufuka kusimama mbele yake
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Tutafufuka kusimama mbele yake Bwana Yesu; Habari zetu tutatoa kwake kwa matendo yetu;
Refrain
Nitaonekana mbele yake, jina langu litaitwa naye; Sita’gopa, ninaamini Damu ya Mwokozi Yesu.
Couplet 2
Nitapokea taji ya uzima mikononi mwake; Nitaitupa mbele yake Yesu anayestahili.
Refrain
Nitaonekana mbele yake, jina langu litaitwa naye; Sita’gopa, ninaamini Damu ya Mwokozi Yesu.
Couplet 3
Tutakutana kwa milele pale, taabu itakwisha; Mizigo tutaacha kwa miguu ya Yesu Mukombozi.
Refrain
Nitaonekana mbele yake, jina langu litaitwa naye; Sita’gopa, ninaamini Damu ya Mwokozi Yesu.