Indirimbo Zikundwa Open in the app

#233

Nasikia Bwana Yesu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Nasikia Bwana Yesu, anaita nimufuate; Anaponitangulia, nitafuata Yesu njia yote.

Refrain

Nitafuata nyayo zake, nitafuata nyayo zake, Nitafuata nyayo zake, nitafuata Yesu njia yote.

Couplet 2

Nitafuata Bwana Yesu hata kwa mateso, kufa, Nitafufuliwa naye, nitafuata Yesu njia yote.

Refrain

Nitafuata nyayo zake, nitafuata nyayo zake, Nitafuata nyayo zake, nitafuata Yesu njia yote.

Couplet 3

Atanipa Neema yake kwa kudumu hata mwisho, Hata nitakapomwona Yesu Bwana wangu kule Mbingu.

Refrain

Nitafuata nyayo zake, nitafuata nyayo zake, Nitafuata nyayo zake, nitafuata Yesu njia yote.