Indirimbo Zikundwa Open in the app

#227

Mimi wako, Bwana

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Mimi wako, Bwana, nimesikia sauti ya mapendo; Nina hamu sana kuvutwa tena karibu nawe, Bwana.

Refrain

Univute, univute kwa Musalaba wako, Bwana; Univute, Bwana, univute kwako nibakie pale tu.

Couplet 2

Ee, unitakase kwa kazi yako Kwa Neema, Bwana Yesu; Roho yangu ikutazame hata ninakupenda pekee.

Refrain

Univute, univute kwa Musalaba wako, Bwana; Univute, Bwana, univute kwako nibakie pale tu.

Couplet 3

Ni kutamu sana kushinda saa ya maombi mbele yako, Ninapoinama kusemezana nawe, Mwokozi wangu.

Refrain

Univute, univute kwa Musalaba wako, Bwana; Univute, Bwana, univute kwako nibakie pale tu.

Couplet 4

Sijajua bado mapendo yako kwa mimi duniani, Shangwe itazidi saa ya kufika Mbinguni kwako, Bwana.

Refrain

Univute, univute kwa Musalaba wako, Bwana; Univute, Bwana, univute kwako nibakie pale tu.