Indirimbo Zikundwa Open in the app

#224

Yote kwa Mwokozi wangu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Yote kwa Mwokozi wangu, Kwaye nguvu yangu yote, Mafikili na matendo, vile siku zangu zote.

Refrain

Yote kwa Mwokozi wangu, yote kwaye tu daima; Yote kwa Mwokozi wangu, utukufu na heshima.

Couplet 2

Hii mikono na miguu ni kwa kazi yake Yesu; Macho yatazame juu, na midomo imusifu.

Refrain

Yote kwa Mwokozi wangu, yote kwaye tu daima; Yote kwa Mwokozi wangu, utukufu na heshima.

Couplet 3

Tangu nilipotazama Yesu kule kwa Kalvari, Vitu vyote vya dunia vilikuwa bule kwami.

Refrain

Yote kwa Mwokozi wangu, yote kwaye tu daima; Yote kwa Mwokozi wangu, utukufu na heshima.

Couplet 4

Ee ajabu kubwa Yesu, yeye Bwana wa wabwana. Ananipokea kwake na mapendo ya kuzidi.