Indirimbo Zikundwa Open in the app

#208

Panda mbegu njema

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Panda mbegu njema, anza asubui, Omba Mungu sana kubariki kazi. Kwa wakati wake utakwenda vile Na kuvuna mbegu na furaha tele.

Refrain

{Twende kwa mavuno, twende kwa mavuno, Kwa furaha kubwa twende kwa mavuno.} x2

Couplet 2

Panda mbegu njema juu ya milima, Na tuendelee hata mabondeni Neno lake Mungu litawafungua Watu wa makosa kwa furaha kubwa.

Refrain

{Twende kwa mavuno, twende kwa mavuno, Kwa furaha kubwa twende kwa mavuno.} x2

Couplet 3

Panda mbegu njema hata kwa machozi, Ukumbuke Yesu, leo uhubiri Bwana wetu Yesu atakuja tena Na zawabu yetu kwa furaha kubwa.

Refrain

{Twende kwa mavuno, twende kwa mavuno, Kwa furaha kubwa twende kwa mavuno.} x2