Indirimbo Zikundwa Open in the app

#206

Uwatafute wanaopotea

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Uwatafute wanaopotea, Kwa pendo uwaondoe kwa zambi; Lia na wenye huzuni rohoni, Uwapeleke kwa Yesu Mwokozi.

Refrain

Uwatafute wanaopotea Yesu Mwokozi Atawaokoa.

Couplet 2

Anatafuta waliokimbia, Anawangoja warudi upesi; Uwafundishe kwa pendo na kweli Juu ya Neema na haki ya Yesu.

Refrain

Uwatafute wanaopotea Yesu Mwokozi Atawaokoa.

Couplet 3

Ndani ya roho na katika, siri Hakose wanatafuta Wokovu; Uwaongoze kwa Yesu Mwokozi, Uwaonyeshe mapendo ya Mungu.

Refrain

Uwatafute wanaopotea Yesu Mwokozi Atawaokoa.

Couplet 4

Uwatafute wanaopotea. Mungu atakupa pendo na nguvu; Uwapeleke kwa Yesu Mwokozi Ataokoa wanaoamini.

Refrain

Uwatafute wanaopotea Yesu Mwokozi Atawaokoa.