Indirimbo Zikundwa Open in the app

#202

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu Kunaniletea shangwe; Roho yangu inapata kufurahi kutumika kazi yake.

Refrain

Kutumika kazi yake ninaleta vitu vyote; Ninataka shangwe nyingi kutumika kazi yake.

Couplet 2

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu Kunaniletea shangwe; Nitaimba hata kati ya huzuni, kutumika kazi yake.

Refrain

Kutumika kazi yake ninaleta vitu vyote; Ninataka shangwe nyingi kutumika kazi yake.

Couplet 3

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu Kunaniletea shangwe; Kila siku Yesu ananiongoza kutumika kazi yake.

Refrain

Kutumika kazi yake ninaleta vitu vyote; Ninataka shangwe nyingi kutumika kazi yake.

Couplet 4

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu Kunaniletea shangwe; Ninaleta vitu vyangu vyote kwake Kutumika kazi yake.

Refrain

Kutumika kazi yake ninaleta vitu vyote; Ninataka shangwe nyingi kutumika kazi yake.