Indirimbo Zikundwa Open in the app

#157

Nina ushirika na furaha kubwa

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Nina ushirika na furaha kubwa, Nikitegemea Yesu Bwana; Ninapata heri na salama vile, Nikitegemea Yesu Bwana.

Refrain

Raha, Raha, Raha kwa Yesu na Salama; Raha, Raha, nikitegemea Yesu Bwana.

Couplet 2

Raha ya ajabu ni rohoni mwangu, Nikitegemea Yesu Bwana; Nuru inangaza njia ya maisha, Nikitegemea Yesu Bwana

Refrain

Raha, Raha, Raha kwa Yesu na Salama; Raha, Raha, nikitegemea Yesu Bwana.

Couplet 3

Woga na huzuni zinatoka kwangu, Nikitegemea Yesu Bwana; Ninafarijiwa sikuzote naye, Nikitegemea Yesu Bwana.

Refrain

Raha, Raha, Raha kwa Yesu na Salama; Raha, Raha, nikitegemea Yesu Bwana.