#144
Huzuni yangu ni kitu kweli
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Huzuni yangu ni kitu kweli Machoni mwa Bwana Yesu? Saa ya masumbuko na Majaribu yeye ananihurumia?
Refrain
Kabisa Anaona yote na ananihurumia; Taabu yangu yote nilete kwake, Hataniacha kamwe.
Couplet 2
Mwokozi yuko karibu kweli ninapoogopa sana? Na nikitembea katika giza, Bwana ni karibu kuchunga?
Refrain
Kabisa Anaona yote na ananihurumia; Taabu yangu yote nilete kwake, Hataniacha kamwe.
Couplet 3
Wakati ninapopima sana nishinde saa ya jaribu, Na ninaanguka, huzuni kubwa Atapenda kunisamehe?
Refrain
Kabisa Anaona yote na ananihurumia; Taabu yangu yote nilete kwake, Hataniacha kamwe.
Couplet 4
Wakati wa kufa kwa wapenzi, Kuachwa na ndugu zangu, Na upekee ukinishika nguvu, Bwana atakuwa karibu?
Refrain
Kabisa Anaona yote na ananihurumia; Taabu yangu yote nilete kwake, Hataniacha kamwe.