#122
Umekuja kwake Yesu kusafishwa?
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Umekuja kwake Yesu kusafishwa? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Unategemea Neema yake sasa? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo?
Refrain
Umeoshwa, Umeoshwa, Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Roho yako imepata kuwa safi? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo?
Couplet 2
Sikuzote unafuata njia yake? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Umepata raha na salama kwake? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo?
Refrain
Umeoshwa, Umeoshwa, Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Roho yako imepata kuwa safi? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo?
Couplet 3
Wewe ni tayari kwa kuona Yesu? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Naye atakupeleka kwake Mbingu? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo?
Refrain
Umeoshwa, Umeoshwa, Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Roho yako imepata kuwa safi? Umeoshwa kwa Damu ya Kristo?
Couplet 4
Ndugu yangu, ninakuuliza sasa: Umeoshwa kwa Damu ya Kristo? Usikawe tena, kuja kuamini, Utaoshwa kwa Damu ya Kristo?