Indirimbo Zikundwa Open in the app

#108

Zahabu na feza haziniokoi

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Zahabu na feza haziniokoi, Na mali haiwezi kutoa makosa; Lakini kwa Damu ya Yesu Mwokozi Nimenunuliwa nipate uhuru.

Refrain

Nakombolewa pasipo mali, Na kwa Neema nimeokoka: Ni bei gali, kwa Damu yake Alilipa deni yangu.

Couplet 2

Zahabu na feza hazina uwezo Kwa kunipatia usafi rohoni; Mwokozi alinikomboa kwa damu, Nipate Wokovu, nitoke kwa zambi.

Refrain

Nakombolewa pasipo mali, Na kwa Neema nimeokoka: Ni bei gali, kwa Damu yake Alilipa deni yangu.

Couplet 3

Zahabu na feza haziufungui Mulango wa kukaribia Mwenyezi, Lakini kwa damu nimeifikia Neema ya Mungu aliye Mukuu.

Refrain

Nakombolewa pasipo mali, Na kwa Neema nimeokoka: Ni bei gali, kwa Damu yake Alilipa deni yangu.

Couplet 4

Zahabu na feza hazinifichi Nyumbani mwa Mungu niliyemubisha; Lakini nimekombolewa kwa damu, Kwa hivi nitachukuliwa Mbinguni.

Refrain

Nakombolewa pasipo mali, Na kwa Neema nimeokoka: Ni bei gali, kwa Damu yake Alilipa deni yangu.