Indirimbo Zikundwa Open in the app

#95

Kwa Pendo lake kubwa Mwokozi

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Kwa Pendo lake kubwa Mwokozi alikuja, Na alinitafuta katika poli mbali; Na malaika waliimba na furaha juu yangu.

Refrain

Alinitafuta, akaniokoa, Akaniondosha kwa mabaya. Akanirudisha kwake Mungu.

Couplet 2

Kwa zizi lake zuri alinibeba tena, Na aliniambia, “Wewe ni wangu sasa.” Sauti yake ya mapendo ilinifariji sana.

Refrain

Alinitafuta, akaniokoa, Akaniondosha kwa mabaya. Akanirudisha kwake Mungu.

Couplet 3

Ninakumbuka jinsi alivyotoa damu, Ninakumbuka vile miiba na mateso, Mwokozi alibeba yote kwa sababu ya mapendo.

Refrain

Alinitafuta, akaniokoa, Akaniondosha kwa mabaya. Akanirudisha kwake Mungu.

Couplet 4

Ninakufua, Yesu, katika nuru yako; Ninakumbuka sana baraka yako nyingi; Milele nitaendelea kukusifu kwa furaha.

Refrain

Alinitafuta, akaniokoa, Akaniondosha kwa mabaya. Akanirudisha kwake Mungu.