Indirimbo Zikundwa Open in the app

#93

Rafiki, muyasikilize sasa

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Rafiki, muyasikilize sasa mafundisho yetu Yanayoweza kusaidia na kuwaokoa watu.

Refrain

Nani anaokoa watu? (Mwana wa Mungu kwa Kalvari) Kwa njia gani? (Kutukufia) Na yuko wapi? (Amini) Mbinguni anatuombea.

Couplet 2

Hakuna malaika juu aliyeliweza hili; Mwenye kuteswa kwa Kalvari Alikuwa Mwana Mungu.

Refrain

Nani anaokoa watu? (Mwana wa Mungu kwa Kalvari) Kwa njia gani? (Kutukufia) Na yuko wapi? (Amini) Mbinguni anatuombea.

Couplet 3

Ni Neno la kutushangaza na kuwasha roho zetu; Yesu, kuhani letu, sasa anatuombea juu.

Refrain

Nani anaokoa watu? (Mwana wa Mungu kwa Kalvari) Kwa njia gani? (Kutukufia) Na yuko wapi? (Amini) Mbinguni anatuombea.

Couplet 4

Utapokea Yesu sasa, na utamunyenyekea? Ataijaza roho yako na uwezo na furaha.