Indirimbo Zikundwa Open in the app

#77

Dunia ‘nalala kwa giza

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Dunia ‘nalala kwa giza la zambi, Nuru ni Yesu pekee; Mwenye utukufu anatuongoza, Nuru ni Yesu pekee.

Refrain

Kuja kwa Nuru, anakuita, Nimeipata kwa roho yangu; Mimi kipofu, sasa naona Nuru ni Yesu pekee.

Couplet 2

Hatutatembea kwa giza kabisa, Nuru ni Yesu pekee; Sababu tunafuata Yesu Mwokozi, Nuru ni Yesu pekee.

Refrain

Kuja kwa Nuru, anakuita, Nimeipata kwa roho yangu; Mimi kipofu, sasa naona Nuru ni Yesu pekee.

Couplet 3

Kwa wenye makosa, wenye kupotea, Nuru ni Yesu pekee; Kwendeni kuoshwa na Damu ya Yesu, Nuru ni Yesu pekee.

Refrain

Kuja kwa Nuru, anakuita, Nimeipata kwa roho yangu; Mimi kipofu, sasa naona Nuru ni Yesu pekee.

Couplet 4

Hawana hitaji la jua Mbinguni, Nuru ya Mbingu Yesu; Kondoo wa Mungu ni nuru ya muji, Nuru ya Mbingu Yesu.

Refrain

Kuja kwa Nuru, anakuita, Nimeipata kwa roho yangu; Mimi kipofu, sasa naona Nuru ni Yesu pekee.