Indirimbo Zikundwa Open in the app

#64

Kama ulivyoagiza, Bwana

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Kama ulivyoagiza, Bwana, ninafika meza yako Kwa kukumbuka kufa kwako Kwa mimi mwenye zambi.

Couplet 2

Mwili wako uliovunjika ni mukate wa uzima, Na damu iliyomwangika, agano jipya kwami.

Couplet 3

Nikiona Musalaba wako kwa kilima cha Kalvari, Nakukumbuka na sadaka uliyonitolea.

Couplet 4

Ninakukumbuka na matesa uliyoyabeba kwami; Ningali na maisha yangu nitakusifu wewe.

Couplet 5

Hata saa midomo yangu hii itakapofungwa kimya, Nitatangaza kufa kwako, na utanikumbuka.