Indirimbo Zikundwa Open in the app

#57

Ninatimia ndani yako

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Ninatimia ndani yako na ninapata haki kwako; Mauti yako, Bwana Yesu, ililipia deni yangu.

Refrain

Ninatakaswa nawe, Bwana, na ninahesabiwa haki, kwa Damu ulinisamehe, na utanitukuza vile.

Couplet 2

Ninatimia ndani yako, makosa hayatatawala Katika moyo wangu tena, uwezo wako umeshinda.

Refrain

Ninatakaswa nawe, Bwana, na ninahesabiwa haki, kwa Damu ulinisamehe, na utanitukuza vile.

Couplet 3

Umetimiza mahitaji ya roho yangu, Bwana Yesu; Ee wewe unafaa kabisa, sitahitaji kitu tena.

Refrain

Ninatakaswa nawe, Bwana, na ninahesabiwa haki, kwa Damu ulinisamehe, na utanitukuza vile.

Couplet 4

Wachaguliwa siku moja watakutana kwako, Bwana, Na nitakuwa pale vile, nikitimia ndani yako.