Indirimbo Zikundwa Open in the app

#47

Najua Jina moja zuri

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Najua Jina moja zuri kuliko kila Jina huko, Kuniletea raha tamu, ni Jina hili, Yesu.

Refrain

Yesu Jina zuri sana Yesu, sikuzote sawa Yesu, tumwabudu sana na kumwimbia sifa.

Couplet 2

Napenda Jina hili jema, linanivuta kwake Mungu, Kwa saa ya taabu na huzuni linafariji sana.

Refrain

Yesu Jina zuri sana Yesu, sikuzote sawa Yesu, tumwabudu sana na kumwimbia sifa.

Couplet 3

Siwezi mimi kueleza uzuri wake Jina hili Lakini nitaimba sifa kwa Jina lake Yesu.

Refrain

Yesu Jina zuri sana Yesu, sikuzote sawa Yesu, tumwabudu sana na kumwimbia sifa.