Indirimbo Zikundwa Open in the app

#45

Kukufikili Wewe, Yesu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Kukufikili Wewe, Yesu, iko kutamu kwangu; Zaidi kukuona wewe, na kupumzika kwako.

Couplet 2

Hakuna Jina tamu sana kuliko lako, Yesu; Inatushinda kufahamu uzuri wako wote.

Couplet 3

Taraja kwa wenye kutubu na wenye kuanguka, Unawahurumia wote wanaokutafuta.

Couplet 4

Inatushinda kueleza mapendo yako, Bwana; Na ni wapenzi wako tu wanaoyafahamu.

Couplet 5

Wewe furaha yetu pekee na taji yetu vile, Na utukufu wetu, Bwana, sasa na kwa milele.