Indirimbo Zikundwa Open in the app

#23

Damu ya Kristo imeniokoa

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Damu ya Kristo imeniokoa, Na nimezaliwa mwenye roho mupya; Ee sifa kwa Baba na sifa kwa Mwana, Damu ya Kristo imeniokoa.

Refrain

Sifa Sifa Mwokozi amenisamehe makosa Sifa Sifa Kwani Damu ya Kristo imeniokoa.

Couplet 2

Damu ya Kristo imeniokoa, Furaha Mbinguni kwa kazi ya Bwana Mutoto wa Baba, na vile muriti, Damu ya Kristo imeniokoa.

Refrain

Sifa Sifa Mwokozi amenisamehe makosa Sifa Sifa Kwani Damu ya Kristo imeniokoa.

Couplet 3

Damu ya Kristo imeniokoa, Na Baba alinisamehe makosa; Ee bei ya damani ni kufa kwa Bwana; Damu ya Kristo imeniokoa.

Refrain

Sifa Sifa Mwokozi amenisamehe makosa Sifa Sifa Kwani Damu ya Kristo imeniokoa.

Couplet 4

Damu ya Kristo imeniokoa, Utatu wa Mungu wapate heshima; Ee sifa kwa Baba na Mwana na Roho, Damu ya Kristo imeniokoa.

Refrain

Sifa Sifa Mwokozi amenisamehe makosa Sifa Sifa Kwani Damu ya Kristo imeniokoa.