Indirimbo Zikundwa Open in the app

#19

Napenda kuimbia Bwana sifa

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Napenda kuimbia Bwana sifa, nimekombolewa Ni wimbo juu ya Mwokozi wangu, nimekombolewa.

Refrain

Tangu nilikombolewa, Tangu nilikombolewa ninasifu Jina lake Tangu nilikombolewa ninasifu Jina la Mwokozi.

Couplet 2

Ninafurahi sana kwa Mwokozi, nimekombolewa Nataka sana kumutumikia, nimekombolewa.

Refrain

Tangu nilikombolewa, Tangu nilikombolewa ninasifu Jina lake Tangu nilikombolewa ninasifu Jina la Mwokozi.

Couplet 3

Najua kweli mimi mwana Wake, nimekombolewa Nitamutegemea sikuzote, nimekombolewa.

Refrain

Tangu nilikombolewa, Tangu nilikombolewa ninasifu Jina lake Tangu nilikombolewa ninasifu Jina la Mwokozi.

Couplet 4

Na nitakaa kwa milele kwake, nimekombolewa Kumutukuza, kumusifu yeye, nimekombolewa.