Indirimbo Zikundwa Open in the app

#16

Niliposikia Yesu akiita nimwamini

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Niliposikia Yesu akiita nimwamini, Nilijibu, “Bwana Yesu, ninataka kuwa wako.”

Refrain

Nitasifu Bwana Yesu, alikufa kwa makosa; Tutukuze Jina lake, Damu yake inatusafisha.

Couplet 2

Njia ya Mungu ni diki, majaribu yanazidi; Nitaacha zambi zote, nitafuata Yesu pekee.

Refrain

Nitasifu Bwana Yesu, alikufa kwa makosa; Tutukuze Jina lake, Damu yake inatusafisha.

Couplet 3

Heri Jina lake Yesu, alinipokea mimi, Alinisamehe zambi na kuosha moyo wangu.

Refrain

Nitasifu Bwana Yesu, alikufa kwa makosa; Tutukuze Jina lake, Damu yake inatusafisha.

Couplet 4

Utukufu kwake Baba, utukufu kwake Mwana, Utukufu kwake roho, wao watakatifu ni mumoja.

Refrain

Nitasifu Bwana Yesu, alikufa kwa makosa; Tutukuze Jina lake, Damu yake inatusafisha.