Indirimbo Zikundwa Open in the app

#2

Heshima na Sifa kwake Baba

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Heshima na Sifa kwake Baba Mbinguni, Aliyetupenda zamani na sasa.

Refrain

Haleluya, Usifiwe Haleluya, Amina Haleluya, Usifiwe Haleluya, Amina.

Couplet 2

Heshima na Sifa kwake Yesu Mwokozi, Alitukufia kwa ‘jili ya zambi.

Refrain

Haleluya, Usifiwe Haleluya, Amina Haleluya, Usifiwe Haleluya, Amina.

Couplet 3

Heshima na Sifa kwake Yesu Mwokozi, Kwani Atarudi kwa Kutuchukuwa.

Refrain

Haleluya, Usifiwe Haleluya, Amina Haleluya, Usifiwe Haleluya, Amina.