#263
Uzima wetu sisi ni sawa na majani
Izindi
Couplet 1
Uzima wetu sisi ni sawa na majani, yanakauka na kisha kwanguka. Masiku yanapita na watu wanakufa, mautini karibu njo’kwake.
Refrain
{Njo’kwake;} x4 Wakati Yesu Akwita njo’kwake. Bwana yu’anakwita Mlango utafungwa, milele utateswa njo’kwake.
Couplet 2
Vitu vyote’taoza, na sisi tutaze’ka, hatuhishi milele njo’kwake. Unapomsikia yule Roho wa Bwana, uende ukamwitike njo’kwake.
Refrain
{Njo’kwake;} x4 Wakati Yesu Akwita njo’kwake. Bwana yu’anakwita Mlango utafungwa, milele utateswa njo’kwake.
Couplet 3
Wasipo kumwamini watatupwa motoni, wewe urudi kwake njo’kwake. Mimi nina kusii kimbiliya kwa Yesu, utapata Uzima njo’kwake.
Refrain
{Njo’kwake;} x4 Wakati Yesu Akwita njo’kwake. Bwana yu’anakwita Mlango utafungwa, milele utateswa njo’kwake.