#248
Univute karibu
Izindi
Couplet 1
Univute karibu, Baba, Unikumbatie; Unisogeze kifuani, nataka pumziko.
Refrain
Univute karibu (Vuta, Univute karibu) kwa kamba za Upendo, (kwa kamba, kamba za Upendo.) Univute (kwa kamba za Upendo, Univute karibu,) karibu Nawe. (Vuta karibu Nawe.)
Couplet 2
Univute Mwokozi wangu, Na usiniache; Mikono yako juu yangu leo nione.
Refrain
Univute karibu (Vuta, Univute karibu) kwa kamba za Upendo, (kwa kamba, kamba za Upendo.) Univute (kwa kamba za Upendo, Univute karibu,) karibu Nawe. (Vuta karibu Nawe.)
Couplet 3
Univute kwa Roho yako, Nifanane nawe; Unioshe, Unihuishe, niwe safi, huru.