#158
Ninaona mawimbi
Izindi
Couplet 1
Ninaona Mawimbi yupo mbele zangu, Baba wa Mbinguni kuja kuniokoa.
Refrain
Wewe unaelia, acha kuomboleza. Aliye lia Eloyi Ametangaza Ushindi.
Couplet 2
Ukiona Mawimbi, ikiwa ni majaribu, piga magoti uombe. Mungu Msaada wako.
Refrain
Wewe unaelia, acha kuomboleza. Aliye lia Eloyi Ametangaza Ushindi.
Couplet 3
Ukiona Mawimbi ndani ya kazi za Mungu, piga magoti uombe. Mungu yeye Anajiweza.
Refrain
Wewe unaelia, acha kuomboleza. Aliye lia Eloyi Ametangaza Ushindi.