#49
Nahitaji kuwa mukristo
Izindi
Couplet 1
Nahitaji kuwa Mukristo lakini siviwezi mimi, nategemeya Yesu peke Aliefia dhambi zangu.
Refrain
Ewe Bwana Mwokozi Yesu, ukristo wangu ni weweee, kiu yangu ni uzima safi, Wewe peke utayatimiza. {Heri wamutegemea Ô Bwana.} x2
Couplet 2
Siku kwa siku nasumbuka, nikipambana na Shetani, juu nione maisha yangu yastahili Injili.
Refrain
Ewe Bwana Mwokozi Yesu, ukristo wangu ni weweee, kiu yangu ni uzima safi, Wewe peke utayatimiza. {Heri wamutegemea Ô Bwana.} x2
Couplet 3
Machozi yangu yiko mengi, nalilia maisha yangu, kwa mazayifu yangu mengi, hayipendezi Bwana Wangu.
Refrain
Ewe Bwana Mwokozi Yesu, ukristo wangu ni weweee, kiu yangu ni uzima safi, Wewe peke utayatimiza. {Heri wamutegemea Ô Bwana.} x2
Couplet 4
Eh Bwana Msaada wako, uwe ju yangu nakuomba, nitatazama kwako peke, nikikumbuka Kalvali.
Refrain
Ewe Bwana Mwokozi Yesu, ukristo wangu ni weweee, kiu yangu ni uzima safi, Wewe peke utayatimiza. {Heri wamutegemea Ô Bwana.} x2
Couplet 5
Nauzunika ndani mwangu, sifurahi hata kidogo, ila sijiwezi hakika, nisipo badilishwa Nawe.
Refrain
Ewe Bwana Mwokozi Yesu, ukristo wangu ni weweee, kiu yangu ni uzima safi, Wewe peke utayatimiza. {Heri wamutegemea Ô Bwana.} x2
Couplet 6
Njia za dhambi sizipendi, zinakutukanisha Bwana, maisha hayo siataki, machozi yangu ifike Mbingu.