Indirimbo Zikundwa Open in the app

#204

Hatuijui siku

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Hatuijui siku atakapokuja Bwana wa Arusi wa Kanisa lake tujitayarisheni kungoja siku yile tuweni tayari kwenda kumulaki.x2

Refrain

S: Arusi-Arusi ya Bwana ikifika TS: Tutafurahiya sote kuolewa naye Mbinguni tutapumzika.

Couplet 2

Tukiwakumbuka wale wana wali kumi tazama watano wa kawa wajinga wasiyo na mafuta katika taa zao mwisho walishindwa kwenda kumulaki.x2

Refrain

S: Arusi-Arusi ya Bwana ikifika TS: Tutafurahiya sote kuolewa naye Mbinguni tutapumzika.

Couplet 3

Nasi tujiulize kwenye matendo yetu yanastahili Arusi ya Bwana tuta kuwa tayari kwa kwenda kumulaki ao tutabaki kugonga mulango.x2

Refrain

S: Arusi-Arusi ya Bwana ikifika TS: Tutafurahiya sote kuolewa naye Mbinguni tutapumzika.