#184
Namnapo sikia
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Namnapo sikia vita huku na huku tieni macho juu kwani okovu wenu alivyo sema Bwana karibu umefika. Ant: Ma….Cho…ju….U u…. …. Me …fi…..ka.
Refrain
Hivyo onavyo ona havionyeshe chochote kwa nini? Kujiona we hu kitu chochote.x2
Couplet 2
Tazameni alama za kuja kwake Bwana zaonekana wazi, dunia ya zeheka watu waja kwa Yesu wengi wajipakazi. Ant: Ka….ma… wa..zi Ji…..pa …..ra…zi.
Refrain
Hivyo onavyo ona havionyeshe chochote kwa nini? Kujiona we hu kitu chochote.x2
Couplet 3
Mutafuteni Bwana wote mnaofungwa na mutafunguliwa, aliye na muhuri roho mutakatifu huyo tanyakuliwa. Ant: Fu…ngu…li…wa Nya…ku…li….wa.
Refrain
Hivyo onavyo ona havionyeshe chochote kwa nini? Kujiona we hu kitu chochote.x2
Couplet 4
Ombeni kwa bidii fungeni na kukesha hamujui wakati Bwana Atakapo kuja kwani yawezekena aja usiku kati. Ant: Wi… wa…ka…ti Si….ku….ka….ti.
Refrain
Hivyo onavyo ona havionyeshe chochote kwa nini? Kujiona we hu kitu chochote.x2