#182
Mwokozi muzuri
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Mwokozi Muzuri ninaye zamani sikumufahamu na sasa ninamuhubiri wengine wapate kuona.
Refrain
Wote watamwona, wote watamwona, Mwokozi muzuri ninaye lo! wote watamwona.
Couplet 2
Shetani akizizuiya nisimufuate Mwokozi, najua Bwana yangu hodari hutaka kunisaidiya.
Refrain
Wote watamwona, wote watamwona, Mwokozi muzuri ninaye lo! wote watamwona.
Couplet 3
Apita wowote kwa wema mfano tukufu wa Baba, lakini aniita ndugu, niliye maskini kabisa.
Refrain
Wote watamwona, wote watamwona, Mwokozi muzuri ninaye lo! wote watamwona.
Couplet 4
Natoa maisha na pendo kwa Yesu aliye nipenda, katika ishara za Mungu, upendo wapita yote.
Refrain
Wote watamwona, wote watamwona, Mwokozi muzuri ninaye lo! wote watamwona.