Indirimbo Zikundwa Open in the app

#170

Ndugu zangu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Ndugu zangu twakaribia Siku ya Bwana Yesu ya kuwachukua wale wote walioshinda.

Refrain

Atayapanguza machozi ya walio nyakuliwa atayapanguza Alleluya. Mungu Asifiwe.

Couplet 2

Siku ile ya Bwana Yesu utafanya nini ndugu ukiwa haukumwami mateso ya kungoja.

Refrain

Atayapanguza machozi ya walio nyakuliwa atayapanguza Alleluya. Mungu Asifiwe.

Couplet 3

Ni wale tu wenye kubeba Jina la Bwana Yesu na kufanana na Neno ndiyo mbegu ya Mungu.

Refrain

Atayapanguza machozi ya walio nyakuliwa atayapanguza Alleluya. Mungu Asifiwe.