#164
Andika kwa malaika
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Andika kwa Malaika [B: malaika] wa kanisa laodikia [B: laodikia] tazameni asemayo [B: asemayo] mushuhuda mwamunifu [B: mwamunifu].x2
Refrain
Nayajua matendo yako wewe sibaridi wala moto kwani [B:kwani uvu] umuvuguvugu[B:Vuguvugu] nitakutapika [B: Nitakutapiki] kinywani mwangu [B: kinywa ni mwangu] Kwani wasema mimi tajiri sihitaji kitu chochote japo wewe [B: japo wewe] ni munyinge [B: ni munyonge] mukosefu uchi na kipofu [B: Chi na kitofu].
Couplet 2
Nakushahuri nunuwa kwangu [B: Nunuwa kwangu] zahabu iliyo safishwa [B: Lio safishwa] ili upate kuwatajiri [B: kuwatajiri] mavazi meupe uvae [B: meupe uvae].
Refrain
Nayajua matendo yako wewe sibaridi wala moto kwani [B:kwani uvu] umuvuguvugu[B:Vuguvugu] nitakutapika [B: Nitakutapiki] kinywani mwangu [B: kinywa ni mwangu] Kwani wasema mimi tajiri sihitaji kitu chochote japo wewe [B: japo wewe] ni munyinge [B: ni munyonge] mukosefu uchi na kipofu [B: Chi na kitofu].
Couplet 3
Mimi nina wakemeya [B: Wakemeya] wote ninawo na wapenda [B: Nawapenda] wana wangu binti zangu [B: Binti zangu] muwe na bidii mukiomba [mukiomba].x2
Refrain
Tazama nasimama langoni ukisikia sauti yangu mimi nitaingia kwako nitakula pamoja nawe S: Yule ashindaye nitamupa kuketi pamoja nami kitini; kama vile nilivyoshinda [B: nilivyoshinda] nikaketi na Baba yangu [B: Na Baba yangu].x2 Alie na sikiyo asikiye [B: asikiye] Neno Roho aambiya makanisa [B: mbiya kanisa].x2