Indirimbo Zikundwa Open in the app

#161

Siku ile itapo

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

S: Siku ile itapo wadiya.x2 Tutaimba wimbo ule Mwana Kondoo, kwenye kiti kule Mbingu kiti cya enzi hakika ni furaha.x2

Refrain

S: Bwana Yesu TS: Atakuwa ndiye S: Nuru ile TS: Yakuongoza S: Watu wote TS: Waliyo kule S: Nakupata TS: Nakupata taji zawo S: Nakuimba TS: Nakuimba Haleluya utukufu na Bwana.

Couplet 2

Tayarisha moyo wako hivi sasa siku ile ikute uko tayari usije kulalamika kana kwamba haukujua kwamba siku inakuja.

Refrain

S: Nasasa TS: Nasasa pokea Wokovu wa Bwana ili ukolewe S: Ukutwe TS: Ukutwe tayari na Mwokozi Yesu ili uende naye S: Na para TS: Na parapanda ikiliya ukutwe wewe uko tayari S: Ukutwe TS: Ukutwe tayari katika kuingiya Inchi yenye raha.