#153
Yesu na neno lake
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Yesu na Neno lake ni kitu kimoja Uzima wa Yesu uko ndani la Neno lake madini zote hawana neno la Yesu wazo la Yesu Kristo liko ndani ya Bibi arusi.x2
Refrain
S: Wahubiri wakiacha Neno Yesu naye anawaaca nanyi mwaweza kuuwacha mahali Yesu hayiko kunajaa mauti. T: Inchi ya Bibi arusi ni ndani ya ujumbe wa wakati ni hivi asama Bwana na tena ni Amina.
Couplet 2
Pendo la Yesu Kristo ni la Ajabu sana ametutembele ya kwa kutuletea Biblia ni Nuru ya jioni angalia unaco amini kisico ambatana na Ujumbe usiamini.x2
Refrain
S: Wahubiri wakiacha Neno Yesu naye anawaaca nanyi mwaweza kuuwacha mahali Yesu hayiko kunajaa mauti. T: Inchi ya Bibi arusi ni ndani ya ujumbe wa wakati ni hivi asama Bwana na tena ni Amina.
Couplet 3
Yesu amefunua Neno lote kwa kizazi hiki linganisha maisha yako na Neno la wakati Yesu yu mulangoni hakuna tena wakati shabaa ya Ujumbe ni kupokea Roho Mtakatifu.
Refrain
S: Uko uchi nawe hawujui acha pendo launafiki ndugu havumilie tena ndugu umerudilia tabiya za kale kunyakuliwa hakuna ruswa. TS: Kama Yesu hachukuwe nafasi ya kwanza ndani yako atakapo rudi wewe hawutamlaki.