Indirimbo Zikundwa Open in the app

#148

Kama kuna awezaye

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Kama kuna awezaye kushukuru: nimimi niliye amini.x2

Couplet 2

Vyote ninakuwa navyo nimepewa na Baba wetu wa Mbingini.x2

Couplet 3

Na Wokovu Alinipa kwa Neema nitamushukuru je.x2

Refrain

Ee Mungu: Kwa nini nijipige kifua: Na siwezi lolote sifa: Niza Bwana milele.