Indirimbo Zikundwa Open in the app

#142

Uni samehe Yesu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Uni samehe Yesu.x2 Uni okoe Baba.

Refrain

Nita shuhu: Dia nini kwa wandugu: wale wakale walio ishi: Neno la Mungu bila u: unafiki kweli wali kubali kuteswa na kuchomwa: kwa moto wakiliwa: na Simba ili wasi: kanyange Neno.

Refrain

S/ (F): Ushuhuda gani nitaleta nikikanyanga Neno la Mungu, ole kwangu kwani ninasahau ya kwamba wengi wali kufa kwaku chunga Neno.x2

Refrain

S/ (G): Ni matendo gani nina onesha kwa wandugu na majirani wangu. Nina jidai mimi Kuwa mukristo na maisha yangu hayastahili.x2

Couplet 2

B: Kesheni kwa bidii mukiomba ili musije muka ingie majaribuni.

Refrain

Kwakuomba: Mimi siombi kwakukesha: mimi si keshi kwakufunga: mimi si funge nitashuhu: dia nini nina omba: ba nisamehe kwangupekee: sitaweza nahitaji: Mkono wako ili nami: nipate shinda.

Refrain

S/ (F): Natamani kuyatenda mazuri mabaya ndiyo yanitangulia moyo wangu watamani kuomba na mwili wangu nao unakataa.x2

Refrain

S/ (G): Tuna ishi kweli nyakati mbaya; udanganyifu unazidi sana vina fanana lakini havifanane; bila maombi kweli hatuta weza.