Indirimbo Zikundwa Open in the app

#128

Bwana Yesu alipo niita

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

S: Bwana Yesu Alipo niita TS: niishi kwa jili yake ee S: nishugulikiwe naye TS: maishani kwa hali zoteee.x2

Refrain

Uni: uniongoze Bwana Uni: Unishike mkono, niwe: niwe tu nyuma yakooo, niwe: kati ushirika na we niwe; kati roho moja na we kwakuwa aa: maisha ya ukristo niya Upekee.x2

Couplet 2

S: Acha kufuata watu TS: wote wana mizigo na kuchoka S: tosha tumaini yako mu watu TS: umutazamiye Bwana peke yake.x2

Refrain

Uni: uniongoze Bwana Uni: Unishike mkono, niwe: niwe tu nyuma yakooo, niwe: kati ushirika na we niwe; kati roho moja na we kwakuwa aa: maisha ya ukristo niya Upekee.x2

Couplet 3

Sitaki tena kutembelea mazoezi ya wengine ee nilitwa peke yangu niishi uhakika wangu peke na Yesu.x2

Refrain

Uni: uniongoze Bwana Uni: Unishike mkono, niwe: niwe tu nyuma yakooo, niwe: kati ushirika na we niwe; kati roho moja na we kwakuwa aa: maisha ya ukristo niya Upekee.x2

Couplet 4

Bwana Yesu ni muweza yote taona ukuu wake ukitumaini kwa kuwa si Mungu wa hadhisi mbali mwenye kuahidi na kutenda.x2