Indirimbo Zikundwa Open in the app

#95

Bwana ametuma aliko

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Bwana Ametuma Aliko na watumishi duniani alika watu kwa Aarusi ya Mwana Kondoo.x2

Refrain

Wengi waliopokea [aliko hili] walizarau wa kileta sababu zawo kutokuamini kwa [watu wa leo] hakuzuii Mungu kufanya Kazi.x2

Couplet 2

Aaliko ni Ujumbe wa Wakati huu tulimo taubiriwa duniani pote nabadaye mwisho utafika.x2

Refrain

Wengi waliopokea aliko hili walizarau wa kileta sababu zao bibi arusi lipokee aliko jitayarishe kushiriki kwa karamu na Bwana Ametayarishia Mavazi yale matendo mema ya Watakatifu.x2

Couplet 3

Bwana Amejenga makao Yerusalemu muji mpya ataingia bibi arusi afananaye Mwana Kondoo.x2

Refrain

Ni nani asiyeweza [kuutamani] Mji Mtukufu ulio pambwa asana furaha tele pa [moja na Bwana] tutasahau mateso tulio pata.x2