Indirimbo Zikundwa Open in the app

#80

Upendo wa kiungu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Upendo wa kiungu wavumiliya yote nao wasahihisha wafunua tabia ya Yesu ndani ya maisha ya mwamini wa kweli iyo tabia ndani yake hufurahi katika kweli.x2

Refrain

B: Unishushe Bwana: ili nikuone

Refrain

B: Kama kondoo: niachilie haki yangu

Refrain

B: Tabiya zote zako: uzitiye ndani yangu

Refrain

B: Unipondeponde: kwa Neno lako

Refrain

TS: Unapo niona ujione ndani yangu nitofautishwe na dunia nayo isurubishwe Kwangu.

Couplet 2

Ninapo kusikia na kufwata Neno lako nina haja ya nuru halisi kuniongoza utawale nafsi yangu mawazo maneno na matendo ili mimi nitoweke na Kristo awe hai kwangu.x2

Refrain

B: Unishushe Bwana: ili nikuone

Refrain

B: Kama kondoo: niachilie haki yangu

Refrain

B: Tabiya zote zako: uzitiye ndani yangu

Refrain

B: Unipondeponde: kwa Neno lako

Refrain

TS: Unapo niona ujione ndani yangu nitofautishwe na dunia nayo isurubishwe Kwangu.

Couplet 3

Je’ utayari kuachilia usahihishwe na neno je waweza angusha namna yako yakuona ili uache roho wa kweli afanye kwako atakavyo aondowe hali ya ubeberu ili ufanywe kondoo.x2

Refrain

B: Unishushe Bwana: ili nikuone

Refrain

B: Kama kondoo: niachilie haki yangu

Refrain

B: Tabiya zote zako: uzitiye ndani yangu

Refrain

B: Unipondeponde: kwa Neno lako

Refrain

TS: Unapo niona ujione ndani yangu nitofautishwe na dunia nayo isurubishwe Kwangu.

Couplet 4

Twangojea kunyakuliwa kwa Bibi arusi Neno ikiwa nafsi haibadilike na utu wetu ku fanywa upya na kama miili yetu siyo hekalu la Roho Mutakatifu tunangojea bure wala hatutanyakuliwa.x2