Indirimbo Zikundwa Open in the app

#49

Aleta mashaka

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Aleta mashaka aleta njaa kusudi lake tuvunje neno simameni tuendelee ushindi ni wetu.

Refrain

Shujaa wa vita amuka tuende tuvae silaa silaha Neno uvae silaha Neno tuvae Upendo kwa hivyo vita kwa kumushinda Shetani.

Couplet 2

Baada kidogo Bwana y’uhaja tusichoke tutamwonao iwaposhida tuendelee mbele ushindi ni wetu x2.

Refrain

Shujaa wa vita amuka tuende tuvae silaa silaha Neno uvae silaha Neno tuvae Upendo kwa hivyo vita kwa kumushinda Shetani.

Couplet 3

Tuwatazame wandugu wa kale walipigana vita vikali na walishinda kwa Neno la Mungu nasi tulishike tutashinda x2.

Refrain

Shujaa wa vita amuka tuende tuvae silaa silaha Neno uvae silaha Neno tuvae Upendo kwa hivyo vita kwa kumushinda Shetani.

Couplet 4

Tuache vya huku tutazame juu tuone ahadi ya neno la Mungu tusifazaike kwa upepo kali wa yule Mujanja x2.