Indirimbo Zikundwa Open in the app

#5

Mungu alitembeleya

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Mungu Alitembeleya ulimwengu hawakumu tambua Mawazo Yao Imewatenga njiya yake ndiye Yesu.

Refrain

Watasema je mbele ya Mungu, Bwana Utuhurumiye hatukufahamu.x2 Itasikilika Ondokeni kwangu siwajui Kwasiku ile; Ondokeni kwangu siwajui Yahukumu kubwa; Ondokeni kwangu siwajui wenye zambi wote; Ondokeni kwangu siwajui Ole ole x2 ; Ondokeni kwangu siwajui Kwangu madini wote; Ondokeni kwangu siwajui.

Couplet 2

Mungu kazidi kuwatumiya wajumbe wakazarau Akatume hata Mwana wake wa pekee ndiye Yesu.

Refrain

Watasema je mbele ya Mungu, Bwana Utuhurumiye hatukufahamu.x2 Itasikilika Ondokeni kwangu siwajui Kwasiku ile; Ondokeni kwangu siwajui Yahukumu kubwa; Ondokeni kwangu siwajui wenye zambi wote; Ondokeni kwangu siwajui Ole ole x2 ; Ondokeni kwangu siwajui Kwangu madini wote; Ondokeni kwangu siwajui.

Couplet 3

Na wengine siku za leo wameiga bibi arusi maajabu mengi wanaotenda lakini watafukuzwa.

Refrain

Watasema je mbele ya Mungu, Bwana Utuhurumiye hatukufahamu.x2 Itasikilika Ondokeni kwangu siwajui Kwasiku ile; Ondokeni kwangu siwajui Yahukumu kubwa; Ondokeni kwangu siwajui wenye zambi wote; Ondokeni kwangu siwajui Ole ole x2 ; Ondokeni kwangu siwajui Kwangu madini wote; Ondokeni kwangu siwajui.

Couplet 4

Naisisi wa Kristo tumo ndani ya Kristo Na wale watakao danganywa na mwili watahukumiwa.