Indirimbo Zikundwa Open in the app

#67

Tuonane yerusalema

Impimbano· Fr Nathan

Refrain

{Tuonane Yerusalema} x3 Kwenye Mji wa Raha.

Couplet 1

Tukeshe tukiomba, mapema tujiandae. Mungu wetu mapema Atarudi mареmа!

Refrain

{Tuonane Yerusalema} x3 Kwenye Mji wa Raha.

Couplet 2

Wapendwa tutawaona, Yerusalema tukifika. Kwa Furaha tutaimba, Hallelluah, Amen!

Refrain

{Tuonane Yerusalema} x3 Kwenye Mji wa Raha.

Couplet 3

Tutafute utakaso, amani kwa watu wote. Na siku ikifika tumuone Mungu wetu!

Refrain

{Tuonane Yerusalema} x3 Kwenye Mji wa Raha.

Couplet 4

Na Yesu tutamuona, Elia tutamuona. Musa tuta muona, kwenye Muji wa Raha!

Refrain

{Tuonane Yerusalema} x3 Kwenye Mji wa Raha.