#23
Siku yangu yakuona bwana
Chorus
Couplet 1
Siku yangu ya kuona Bwana, inakaribia sana. Ninamini kuona Bwana, Uzima wangu.
Refrain
{Bwana Kuja twende.} x3
Couplet 2
Natamani kwa moyo wangu, kwenda pamoja na Bwana. Na kuikala naye milele, kwa Kiti ca enzi.
Refrain
{Bwana Kuja twende.} x3
Couplet 3
Ndugu zangu tukaze mwendo, tusirudi nyuma tena. Vya dunia ni hapa kwisha, twende twende kwetu.
Refrain
{Bwana Kuja twende.} x3
Couplet 4
Dada zangu tukaze mwendo, tusirudi nyuma tena. Vya dunia ni hapa kuisha, tuende tuende kwetu.
Refrain
{Bwana Kuja twende.} x3