Indirimbo Zikundwa Open in the app

#12

Nina baba asiyeshindwa kamwe

Chorus

Couplet 1

Nina Baba Asiyeshindwa kamwe, Nina Baba Asiyeshindwa kamwe. Yesu ndiye Baba Asiyeshindwa kamwe, Mwamba wangu hawezi kushindwa.

Refrain

{Ulijibu Paulo na Sila} x3 Utanijibu nami pia.

Couplet 2

Eh ! Bwana Pokea Mashukrani, kwa yote Uliyoyatenda. Eh ! Bwana Pokea Mashukrani, nasema Aksanti sana.

Refrain

{Ulijibu Paulo na Sila} x3 Utanijibu nami pia.