#4
Kama si wewe bwana ninge kuwa aje leo ?
Chorus
Refrain
Kama si Wewe Bwana ninge kuwa aje leo?
Couplet 1
Kama si Musalaba ninge kuwa aje leo?
Refrain
Kama si Wewe Bwana ninge kuwa aje leo?
Couplet 2
Kama si Neema Yako ninge kuwa aje leo?
Refrain
Kama si Wewe Bwana ninge kuwa aje leo?
Couplet 3
Kama si Neema Yako ninge kuwa wapi leo?
Refrain
Moyo wangu tuliya ukaye na Bwana.
Couplet 4
Kati shida tuliya moyo ukae na Bwana.
Refrain
Moyo wangu tuliya ukaye na Bwana.
Couplet 5
Kati Safari tuliya moyo ukae na Bwana.
Refrain
Moyo wangu tuliya ukaye na Bwana.