Indirimbo Zikundwa Open in the app

#615

Awaongoza walio wake

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Awaongoza walio Wake! Mwokozi Mzuri sanaYu wapi Rafiki anaye ja-a Na Huruma kama Yeye?

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, ‘Atuangazia Nuru; Sifa Kwake, na Utukufu Kwake.

Couplet 2

Awaongoza walio Wake! Na hata tuangukapo, Kutoka Kiti Chake cha Rehema, ‘Atumwangia Baraka.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, ‘Atuangazia Nuru; Sifa Kwake, na Utukufu Kwake.

Couplet 3

Awaongoza walio Wake! Mateso yakitu songa, Atukusanya Mabawani Mwake, Na humo tunapumzika.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, ‘Atuangazia Nuru; Sifa Kwake, na Utukufu Kwake.

Couplet 4

Awaongoza walio Wake! Tuta’pomaliza Mwendo, Furaha gani kuwa naye Bwana, Na kumsifu Milele.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, ‘Atuangazia Nuru; Sifa Kwake, na Utukufu Kwake.