Indirimbo Zikundwa Open in the app

#595

Kijito cha utakaso

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Kijito cha Utakaso Ni Damu ya Yesu, Bwana Anao Uwezo Kunipa Wokovu.

Refrain

Kijito cha Utakaso, Nizame kuoshwa Umo; Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata Utakaso.

Couplet 2

Viumbe vipya naona Damu Ina Nguvu Imeharibu uovu Ulionidhulumu.

Refrain

Kijito cha Utakaso, Nizame kuoshwa Umo; Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata Utakaso.

Couplet 3

Naondoka kutembea Nuruni mwa Mbingu Na moyo safi kabisa Kupendeza Mungu.

Refrain

Kijito cha Utakaso, Nizame kuoshwa Umo; Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata Utakaso.

Couplet 4

Ni Ne-ema ya Ajabu Kupakwa na Damu, Na Bwana Yesu kumjua Yesu wa Msalaba.