#587B
Vita iko
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Vita iko, sikieni Tarumbeta Inalia: twaeni Silaha; Tazameni, Bwana wa Majeshi Yeye yuko mbele, Ushindi ni wetu.
Refrain
Vitani, e Askari wake, Pigeni vita na Nguvu, Na Ngao yetu ndiyo Imani, Tushinde uongo wote; Vita iko, tusirege-e, tuwe Hodari Vitani; Tunaye Mungu upande wetu, Twimbe Wimbo wa Ushindi.
Couplet 2
Vita iko, simameni enyi Askari ‘Hodari, kweli tutashinda; Tuzivae Silaha Zake Mungu kwa Kuzipinga hila za Shetani.
Refrain
Vitani, e Askari wake, Pigeni vita na Nguvu, Na Ngao yetu ndiyo Imani, Tushinde uongo wote; Vita iko, tusirege-e, tuwe Hodari Vitani; Tunaye Mungu upande wetu, Twimbe Wimbo wa Ushindi.
Couplet 3
Bwana Anatuongoza siku zote, na Ushindi wetu ni hakika; Giza yote ‘taondoshwa, na Siku Kuu ya Amani Inakaribia.