Indirimbo Zikundwa Open in the app

#567

Nilikuwa kipofu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Nilikuwa kipofu, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 2

Nilikuwa kiziwi, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 3

Nilikuwa muhongo, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 4

Nilikuwa mulevi, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 5

Nilikuwa mufuta, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 6

Nilikuwa musharati, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 7

Nilikuwa mu dunia, Bwana Yesu aliniokoa.

Refrain

{Kuja twimbe wimbo mpya, Bwana Yesu aliniokoa.} x2

Couplet 8

Nilikuwa majivuno, Bwana Yesu aliniokoa.