Indirimbo Zikundwa Open in the app

#544

Bwana Yesu atarudia

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Bwana Yesu atarudia Kuwabeba wenye kuamini, Kwenda nao kule Mbinguni Tukafurahi pamoja Naye.

Refrain

{Ee atawabeba: Wote wenye kuamini Jina la Bwana, - Kwenda nao: Mbinguni kwake Bwana wa majeshi.} x2 Atabeba wote kwenda nao; Furaha kwao zitakua nyingi Hawatakuwa na kiu tena, Wala njaa kwao zitaisha Bwana Yeye ni Mlinzi wao (Milele na milele. x3)

Couplet 2

Ndugu zangu muwe tayari Siku Bwana Yesu atarudi Atukute sisi salama Tukafurahi pamoja Naye.