#541
Kweli bwana atakuja
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Kweli Bwana atakuja, Mwokozi wa ulimwengu. Siku Yake ni karibu, Tuinue vichwa vyetu.
Refrain
Shangwe kwa Mungu wetu (mhm), Yesu Mwokozi (mhm), Wa ulimwengu (yooo), Sifa na Utukufu, Zikurudilie kwako!
Couplet 2
Jitayarisheni wote Twende tumlaki Bwana. Siku Yake ni karibu Atakuja Bwan’Arusi.
Refrain
Shangwe kwa Mungu wetu (mhm), Yesu Mwokozi (mhm), Wa ulimwengu (yooo), Sifa na Utukufu, Zikurudilie kwako!
Couplet 3
Bibi Arusi atapanda Kumlaki juu Mbinguni, Itakuwa shangwe kubwa Tutakaa kwa milele.